AfyaKimataifaSiasa

Waziri wa fedha wa Mandera Ibrahim Barrow afariki dunia….

Waziri wa fedha na mipango ya uchumi kauti ya Mandera Ibrahim Barrow amega dunia kutokana na virusi vya corona.

Gavana wa Mandera Ali Roba amethibitisha kifo chake akielezea kwamba Barrow amehudumu katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minane sasa.