AfyaHabariMakala

SAMBOJA APUUZA UVUMI WA KUUGUA CORONA.

Gavana wa taita taveta Granton Samboja amepuuza ripoti zinazoenezwa mitandaoni kwamba yupo katika chumba cha wagonjwa mahututi na akitibiwa vrusi vya Corona.

Samboja kuwa yuko buheri wa afya na ametaja ripoti zinazoenezwa mitandaoni kua potovu na zilizo na misukumo ya kisiasa.

Gavana Samboja hata hivyo amedhibitisha kufanyiwa upasuaji siku chache zilizopita ila kwa sasa yuko imara jijini nairobi.

Mkewe Stella Samboja ambae amewataka wakenya kujiepusha na habari za uvumi ambazo huenda zikaathiri jamaa za wapendwa wanaozungumziwa.

Mwisho