HabariKimataifa

Rais wa Djibouti Ismael Omar Guelleh kuongoza taifa hilo kwa kipindi cha 5…………..

Kulingana na matokeo yaliyotangazwa mapema leo Guelleh amechaguliwa kwa asimilia 98 ya kura zilizopigwa  ambazo ni Laki moja1, elfu sitini na saba 67, mia tano535 na kumshinda mpinzani wake ambaye ni waziri wa masuala ya ndani Nchini humo Mahamud Ahmed.

Djibouti ina takriban wapiga kura elfu mia mbili 2 na 15,000 waliochaguliwa nchini humo. Guelleh aidha, mwenye umri  wa miaka 73 alichaguliwa mara ya kwanza kuwa rais mwaka wa 1999.