BurudaniEntertainmentHabari

Mr. Bado Awacharukia wanasisa-Wanatutumia vibaya!!

Msanii wa nyimbo za kitamaduni kutoka hapa Pwani Mohammed Said almaarufu Mr. Bado  katika mahojiano na Sauti Ya Pwani Fm alifungunguka na kusema kuwa licha ya wasanii wa nyimbo za kiasili kushinda wakionekana katika majukwaa makubwa ya wanasiasa, wasanii hao wamekua wakivuna pakavu kwani wasanii hao hulipwa pesa kidogo sana tu na kuondokea kuwa na jina. Haya yanajiri baada ya Msanii nguli wa mziki wa kiasili Bin Kalama kuaga na licha ya kuwa na jina kubwa ameaga akiwa katika hali ya uchochole.

Msikilize hapa.

 

By Yussuf Tsuma