BurudaniEntertainmentHabari

SUSUMILA AFUNGUKA KUFANYA NGOMA NA AY, MEJJA ALIZENGUA

King is King  Ep ya Susumila ndo EP inayotamba kwenye mitandao na chati za radio hapa Kenya Msanii Yusuf Kombo almaarufu Susumila kupitia mahojiano ya moja kwa moja kwenye kipindi cha Sheshe La Pwani alifunguka na kuelezea sababu za kuchelewa Kwa Ep hyo na kwamba kulitokea matatizo kutoka kwa wasanii ambao alikua amewashirikisha kwenye Ep hyo. Mmoja ya wasanii walikua ni Ambweni Yesaya A.Y na msanii mmoja kutoka Malawi, hata hivyo Susumila alifunguka na kusema kuwa alilazimika ku kumtoa Msanii Mejja Kwenye ngoma yake ya kiuno baada ya Msanii huyo kutoonyesha ushirikiano na badala yake akamshirikisha msanii Reckless wa kundi la Ethic kutoka Nairobi.

Msikilize Hapa.