HabariNews

Wizara ya elimu imezindua vitabu vipya vya watahiniwa wa mtihani wa kitaifa.

Wizara ya elimu imezindua vitabu vipya vya watahiniwa wa mtihani wa kitaifa kwa lugha ya kingereza na Kiswahili vitakavyotumika kwa muda kati ya mwaka 2022-2026 katika shule zote za upili nchini.
Kulingana na wizara hiyo vitabu hivyo vitaanzishwa rasmi mwezi wa aprili mwaka huu kwa wanafunzi wa kidato cha tatu huku vyengine vikitolewa rasmi januari 2023.
Miongoni mwa vitabu hivyo ni pamoja na ‘Father of the Nation’ kitakachokuwa nafasi ya kitabu cha ‘Blossoms of The savanna’, ‘The Samaritan’ Kitakachochukuwa. Nafasi Ya ‘A Doll’s House’, Atrtist Of The Floating World Kitakachokuw Anafasi Ya The Pearl Miongoni Mwa Vitabu Vingine.