BurudaniEntertainmentHabari

NEW MUSIC ALERT!! ME AND YOU -PETY NILA FT PARADISE

Baada ya kutamba na Kibao unanidai kibao kilichotawala Radio na chat za Runinga Za Kenya, Pety Nila amerudi tena ujio mpya kabisaa! Ni kama ameonelea msimu wa mapenzi usiishe bila kuwapa zawadi mashabiki wa nyimbo za mapenzi, Ngoma mpya aliomshirikisha Msanii mkali kwa jina Paradise inayokwenda kwa jina Me and you.

Itizame hapa?