Habari

WAZEE WA LAMU WAHOFIA KUTATIZWA NA MAGAIDI.

Wazee wa jamii ya Boni katika kaunti ya Lamu wanahofia kuwa huenda kundi la kigaidi la Al-shabaab likatatiza shughuli ya upigaji kura ya Agosti 9 kufuatia hofu ya mashambulizi kuendelea.

Katika taarifa wazee hao sasa wanaitaka serikali kuweka mikakati ya dharura kuhakikisha wapiga kura eneo hilo wanashiriki uchaguzi kwa amani.

Wazee hao wanahisi kuwa huenda wanamgambo hao wanalenga kutatoiza shughuli za uchaguzi huo hivyo basi ipo haja ya mianya ambayo imekuwepo kuzibwa.

>> News Desk…