HabariMichezoNewsSiasa

Kuna njama ya serikali kutumia mfumo usio wa electronic ili kunufaisha mrengo wa Azimio.

Mgombea kiti cha ugavana kaunti ya Mombasa Hassan Sarai sasa anadai kuna njama ya serikali kutumia mfumo usio wa electronic ili kunufaisha mrengo wa Azimio na rais Uhuru Kenyata kwenye uchaguzi ujao.
Kwenye kikao na wanahabari katika makao makuu ya UDA-Kenya Kwanza eneo la Nyali,Sarai ameitaka tume ya uchaguzi nchini IEBC kuachiwa mkono huru kujitayarisha kwa uchaguzi.
Wakati huo huo Sarai ameomba Jamii ya ulimwengu kufuatilia matukio yanayoendelea humu nchini ili kuwakabili wanaochangia sintofahamu hiyo.

BY EDITORIAL DESK