BurudaniEntertainment

PARADISE TABASAMU: NISHAWASIKILIISHA |DAYOO, KUSAH NA JAY MELODY |WANANIOGOPA| SIWAJUI ADASA NA AKEELAH|PETY NILA ANAJUA SANAA!!

Msanii wa Bongo Flavour Hussein Rajab almaarufu Paradise Tabasamu amefunguka na kusema kwamba safari yake ya muziki haijakuwa rahisi vile na kuwa kuna kipindi anapata nafasi ya kuwasikilizisha wasanii Wenzake ambao wanafanya vizuri Kwenye tasnia ya Bongo Flavour kazi zake na hata kutaka kufanya collabo nao lakini hawajawahi kukubali kufanya kazi nae na kwamba ni kama wanauoga fulani hivi. Kwenye Mahojiano na Sauti Ya Pwani Fm Paradise amesema kuwa Baadhi ya Wasanii hao ni Dayoo anayetamba na ngoma waaah, Kusah aliyetamba na ngoma ‘I WISH’ Na Sugar Hit maker Jay Melody.

Msikilize Hapa

By Yussuf Tsuma