Kaunti ya Lamu imeanza zoezi la kuwachanja wahudumu wa afya dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Waziri wa afya wa kaunti ya Lamu Ann Gathoni
Read MoreWalimu nchini wanatazamiwa kuanza kupewa chanjo ya kukabili maambukizi ya virusi vya corona leo. Walimu ni miongoni mwa waliopewa kupaumbele katika
Read MoreSerikali ya kitaifa imeombwa kuwalipia bima ya kitaifa ya afya NHIF wazee ambao wanapokea pesa za mpango wa inua jamii. Kulingana na mbunge wa Ganz
Read MoreKiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amejitokeza kwa mara ya kwanza tangu kuambukizwa Covid-19. Katika kanda iliyochapishwa kwenye mtandao wake wa
Read MoreHospitali za umma na za kibinafsi 622 kote nchini zimeidhinishwa kama vituo vya chanjo ya Covid-19 kama juhudi za serikali kuwezesha wananchi wengi wa
Read MoreWakaazi wa kaunti ya Lamu wamekiri kuna haja ya viongozi wakuu serikali ya Lamu kuonyesha mfano bora kwa kudungwa chanjo ya kudhibiti virusi vya Coron
Read MoreHuduma za maji katika kaunti ya Taita Taveta zitaendelea kusambaratika kwa muda usiojulikana hadi pale serikali ya kaunti hiyo itakapoafikiana na muun
Read MoreRais Uhuru Kenyatta ameongeza muda wa marufuku ya kutotoka nje maarufu kafyu kwa muda wa siku 60 zijazo. Akihutubia taifa kuhusiana na mikakati ya
Read MoreOburu Odinga ameondoa wasiwasi kuhusu hali ya afya ya kinara wa ODM Raila Odinga akisema amelazwa katika hospitali ya Nairobi akiwa na machofu mengi i
Read MoreWakazi wa kata ndogo ya Bofu eneo bunge la likoni kaunti ya Mombasa wanalalamikia ukosefu wa maji wakisema kwamba kuna bwenyenye anayeshirikiana na vi
Read More