HabariNews

Mwili wa mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya Fahami Bakari Shekuwe wapatikana katika chumba cha kuhifadhia maiti.

Mwili wa shukuiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya kwa jina Fahami Bakari Shekuwe umepatikana katika chumba cha kuhifadhia maiti Thika miezi miwili baada ya kuripotiwa kutoweka.
Familia yake imesema mara ya mwisho kuonekana nyumbani ilkuwa ni tarehe 3 mwezi disemba mwaka jana aliposafiri kutoka Mombasa kuelekea Thika
Ikumbukwe kuwa Wiki mbili zilizopita mwili wa mwanamume mwingine kwa jina Masuoa Bakari Tajiri ambaye vilevile polisi wanamhiusisha na ulanguzi wa dawa za kulevya ulipatikana katika hifadhi ya maiti mjini Thika