Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • KUPPET, kaunti ya Kilifi yataka mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wasichana  ya ... March 20, 2023
  • Halmashauri ya Bandari KPA yatoa Msaada wa chakula eneo la Kinango kaunti ya Kwa... March 15, 2023
  • VIWANGO VYA ELIMU YA SEKONDARI MSINGI NI DUNI YASEMA KUPPET. March 15, 2023
  • HOSPITALI YA RUFAA YA KAUNTI YA KILIFI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA. March 9, 2023
  • TEKNOLOJIA HUTUMIKA MIJINI KWA WINGI KULIKO MASHINANI. March 8, 2023

Month: December 2022

  • Home
  • 2022
  • December
December 31, 20220

Wazazi wenye watoto walemavu wamehimizwa kujitokeza na kujisajili na mashirika mbali mbali ya kiserikali yanayowashughulikia walemavu.

Wazazi wenye watoto walemavu wamehimizwa kujitokeza na kujisajili na mashirika mbali mbali ya kiserikali yanayowashughulikia walemavu ili wana wao was

Read More
December 31, 20220

Serikali ya kitaifa imesema kuwa itaendelea na shughuli ya kugawanya chakula cha msaada .

Serikali ya kitaifa imesema kuwa itaendelea na shughuli ya kugawanya chakula cha msaada katika maeneo yaliyoathirika kaunti ya Kwale. Kulingana na na

Read More
December 31, 20220

Wakaazi wa Kwale wahakikishiwa usalama msimu huu wa sherehe za mwaka mpya,

Kamishna wa kaunti ya Kwale Gideon Oyagi amewahakikishia usalama wa kutosha wakaazi pamoja na wageni wanaopania kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya.

Read More
December 31, 20220

KERO LA NDOVU WADI YA MWERENI.

Wakaazi katika kijiji cha Kasemeni , wadi ya Mwereni eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wanalalamika kuhusu uhaba wa maji katika mabwawa madogo ya ene

Read More
December 31, 20220

Msako dhidi ya magenge ya vijana waendelea katika kaunti ya kwale.

Idara ya usalama katika kaunti ya Kwale inaendelea kufanya msako dhidi ya magenge ya vijana ambayo yamekuwa yakitekeleza visa vya uhalifu hasa nyakati

Read More
December 24, 20220

JAMII YA WAVUVI WAPATA SULUHU YA TATIZO LA MAJI KATIKA BANDARI YA KILIFI.

Watu zaidi ya elfu moja kutoka kwa jamii ya wavuvi wamepata suluhu ya kudumu ya tatizo la maji ambalo limewakumba kwa muda mrefu, kufuatia kuzinduli

Read More
December 22, 20220

Dorcas Ndunga kutoka shule ya shule ya Mekaela Academies Kwale apata alama 419.

Mwanafunzi ambaye anaongoza katika mtihani wa KCPE kaunti ya Kwale ni Dorcas Ndunga kutoka shule ya shule ya Mekaela Academies,kwa kupata alama 419.

Read More
December 21, 20220

Machifu katika eneo bunge la Kinango waagizwa kufanya msako dhidi ya watu wanaoendeleza tabia ya kukata miti na kuchoma makaa.

Kamishna wa Kwale Gideon Oyagi amewaagiza machifu katika eneo bunge la Kinango kufanya msako dhidi ya watu wanaoendeleza tabia ya kukata miti na kucho

Read More
December 21, 20220

Bajeti ya fedha za kufadhili zoezi la upanzi wa miti nchini yapitishwa.

Bunge la kitaifa kupitia kamati ya mazingira na misitu limepitisha bajeti ya fedha za kufadhili zoezi la upanzi wa miti nchini. Mbunge wa Msambweni F

Read More
December 21, 20220

Uhaba wa nyumba salama kwa wanawake nchini inachangia pakubwa kukithiri kwa visa vya dhulma vya kijinsia.

Uhaba wa nyumba salama kwa wanawake nchini inachangia pakubwa kukithiri kwa visa vya dhulma vya kijinsia . Kulingana na mshauri wa maswala ya kijin

Read More

Posts navigation

1 2 … 6 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite