BurudaniEntertainmentHabari

HAYAKUHUSUU!! PETY NILA AINGIA STUDIO NA MKONGWE WA MICHANO MR. BLUE

Baada ya kufanya vizuri na ngoma Mwagilia aliowasharikisha wasanii kutoka Tanzania, Baddest 47 na Paradise Tabasamu, Msanii kutoka Kenya anayeishi Ujerumani Pety Nila ameibuka tena na ngoma mpya akiwa amemshirikisha mkongwe wa michano kutoka Tanzania Samir Kheir almaarufu Mr. Blue kwenye mdundo unaokwenda kwa jina hayakusu.

Tizama na usikilize hapa……