HabariNews

Uhaba wa nyumba salama kwa wanawake nchini inachangia pakubwa kukithiri kwa visa vya dhulma vya kijinsia.

Uhaba wa nyumba salama kwa wanawake nchini inachangia pakubwa kukithiri kwa visa vya dhulma vya kijinsia .

Kulingana na mshauri wa maswala ya kijinsia kutoka shirika la kimataifa la UNFPA Caroline Murgor mara nyingi wanaopitia dhulma za kijinsia hujipata hawana mtu wa kumlilia jambo ambalo linawafanya wajiskie pweke.

Akisema kuna umuhimu wa kuwa na sehemu hizo salama ili kulinda wanaopiria dhulma.

Akiongeza kuwa wanaopitia dhulma huwa hawako salama katika mazingira waliyopitia dhulma hizo.

Akitaka juhudi zaidi kuongezwa kukabiliana na visa hivyo kutoka kila mmoja katika jamii.

BY EDITORIAL DESK