BurudaniEntertainmentHabari

MWENDO NI WA HIT AFTER HIT PETY NILA IS BACK!!!

Baada ya kutamba na ngoma hayakusu aliyomshirika Rapper Mkongwe kutoka Tanzania Mr. Blue, na kutoa moto moto ngoma ambazo hazijaacha kwa mbali, msanii Pety Nila ameamua kuachilia ngoma ya Tatu chini ya Mwezi mmoja, Kitu ambacho ni nadra sana kufanywa na wasanii wengine. Kama hujapata nafasi ya kuitazama ngoma mpya fuata hii link

Story By Yussuf Tsuma