AfyaFoodHabariLifestyleMakalaMazingiraNews

Makala: Ukakasi wa Tumaini (Athari ya Mabadiliko ya Tabianchi kwa Wanawake Kilifi) na Mjomba Rashid

Makala hii ya ‘Ukakasi wa Tumaini’, inaangazia jinsi athari ya Mabadiliko ya Tabianchi yalivyosababisha mabadiliko ya maisha ya kila siku kwa Wanawake eneo la Malindi kaunti ya Kilifi.

Kaunti ya Kilifi mojawapo ya kaunti kubwa kijiografia eneo la Pwani imekuwa ikitegemea utalii na kilimo kwa muda mrefu. Hata hivyo kutokana na kiangazi cha muda mrefu na mabadiliko ya anga kilimo kimeonekana kuyumbishwa na mawimbi makali ya mabadiliko ya hali ya anga hasa mabadiliko ya tabianchi.

Kutokana na athari hizo wengi wakilazimika kutafta mbinu mbadala kujikimu kimaisha kama  inavyosemwa kuwa Ngoma Ikibadilisha mdundo huchezwa kivingine.

Mwanahabari wetu Rashid Ramadhan (Mjomba Rashid) alifuatilia jinsi wanawake walivyoathirika na mabadiliko ya tabianchi na kulazimika kugeukia shughuli nyinginezo za kujikimu kimaisha.

Bonyeza Kusikiliza Makala

Audio Player