BurudaniEntertainmentFun

KUMEKUCHAAAA!!! HIVI NI KWELI HAPPY C NA ADASA WANA DATE?

Kwa kawaida, wapenzi huwa na tabia ya kushare vitu, na mara nyingi huwa hawana tatizo kuonekana wakivaa ama kutumia vitu vya wapenzi wao na mara nyingi hata kama hajaweka wazi uhusiano wenu huwa inatafsriwa kuwa wapo katika mahusiano. Gumzo lililo mitandaoni kwa sasa ni la Msanii Wa 001Music Happy C Msanii wa Dallaz Records Adasa baada yao kuonekana wamevaa nguo moja Katika sehemu tofauti, Jambo lilitafsiriwa na wambea kuwa wapo kwenye mahusiano. Je ni Kweli wapo kwenye mahusiano?