Wakilishi wa bunge la Meru wamesutwa kutokana na madai waliyoibua dhidi ya Gavana wa Meru Kawira Mwangaza saa chache baada ya gavana huyo kunusurika
Read MoreIli kuwa na usemi na ushawishi mkuu serikalini kuna haja kubwa viongozi wa ukanda wa Pwani sasa kujiunga na chama cha kisiasa cha PAA. Ni kauli yake K
Read MoreBaadhi ya viongozi wa chama cha Wiper Kaunti ya Mombasa wamemshtumu vikali aliyekuwa seneta wa Mombasa ambae pia ni mbunge wa EALA Hassan Omar Sarai k
Read MoreKinara wa muungano wa Azimio la umoja-one Kenya Raila Odinga amekariri msimamo wa muungano huo kuhusu ajenda zake kuu kujadiliwa kwenye mazungumzo ya
Read MoreSerikali kuu imeshinikizwa kuwapa uhuru magavana kutekeleza wajibu wao bila kuwaekea vikwazo vyovyote ili kuboresha utendakazi wao. Akihutuhubia wa
Read MoreMkurugenzi mkuu wa usajili wa vyama vya kisiasa Anne Nderitu amewahakikishia Wakenya kuwa wameweka mikakati ikiwemo utumizi wa mtandao wa kidijitali w
Read MoreAliyekuwa Mwanasheria Mkuu Githu Muigai, ametoa pendekezo la kupunguza idadi ya kaunti na maeneo bunge ili kupunguza matumizi ya fedha ya serikali ya
Read MoreAliyekuwa Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC Wafula Chebukati alifanya maamuzi kadhaa peke yake pasi kushirikisha makamishna wenza. N
Read MoreMamlaka ya Kutathmini Utendakazi wa Polisi IPOA imependekeza kubuniwa kwa ofisi ya Kiongozi wa Upinzani. IPOA ambayo Jumatano Septemba 27, ailiwasi
Read MoreMbunge wa Nyali Mohammed Ali maarufu Jicho Pevu amekemea vikali semi za baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti ya Mombasa alizozitaja kama za kikabila.
Read More