Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Si Suala la Kisiasa! Kuzuiwa na Kufurushwa kwa Karua na Wenziwe ni Uamuzi Huru w... May 19, 2025
  • ‘Tanzania Sio Shamba la Bibi Kila Mtu Kuingia!’ Rais Samia Awakemea Wanaha... May 19, 2025
  • Headline;Kiongozi mkuu wa kanisa la kianglikana nchini  Jackson Ole Sapit aikoso... May 17, 2025
  • Wanaharakati Wapendekeza kubuniwa Mbinu Mbadala kukabili Mauaji ya Wanawake na D... May 17, 2025
  • Kilifi United yalambishwa mchanga nyumbani May 16, 2025

Month: February 2022

  • Home
  • 2022
  • February
February 21, 20220

Malkia Elizabeth wa Uingereza amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Malkia Elizabeth wa Uingereza amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona. Kasri la Buckingham limesema, Malkia ana dalili za kawaida kama za mafua.

Read More
February 21, 20220

Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono tangazo la Milki za kiarabu kuanzisha kituo cha ubunifu na ujasiria mali nchini Kenya.

Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono tangazo la Milki za kiarabu kuanzisha kituo cha ubunifu na ujasiria mali nchini Kenya. Tangazo hilo ni sehemu ya ma

Read More
February 20, 20220

BARAZA LA MAKANISA LAANZISHA KAMPENI ZA AMANI KAUNTI YA KWALE…………

Baraza la makanisa nchini NCCK limeanzisha kampeni za amani kaunti ya Kwale ili kuona kuwa jamii zinaishi na uwiano na utangamano kabla, wakati na baa

Read More
February 18, 20220

NEW MUSIC ALERT!! ME AND YOU -PETY NILA FT PARADISE

Baada ya kutamba na Kibao unanidai kibao kilichotawala Radio na chat za Runinga Za Kenya, Pety Nila amerudi tena ujio mpya kabisaa! Ni kama ameonelea

Read More
February 16, 20220

Wakimbizi kutoka nchi nyingine watakiwa kutafuta vibali.

Katibu katika shirika la kutetea haki za kibinadamu la Haki Afrika Allan Nyange ametoa wito kwa wakimbizi kutoka nchi nyingine kuhakikisha kuwa wanata

Read More
February 16, 20220

Aliyekuwa mbunge wa mlima Elgon John Serut ameaga dunia.

Aliyekuwa mbunge wa mlima Elgon John Serut ameaga dunia. Kulingana na familia yake Serut amefariki katika hospitali moja jijini Nairobi baada ya kuug

Read More
February 16, 20220

Takriban Wapemba elfu 4 wanaoishi kaunti ya Kwale na nwenye asili ya taifa jirani la Tanzania wanahangaika kufuatia ukosefu wa vitambulisho vya kitaifa.

Takriban Wapemba elfu 4 wanaoishi kaunti ya Kwale na nwenye asili ya taifa jirani la Tanzania wanahangaika kufuatia ukosefu wa vitambulisho vya kitaif

Read More
February 13, 20220

KAMPUNI YA PEPSI YAFUNGUA TAWI JIPYA ENEO LA PWANI.

Kwa mara ya kwanza Kampuni ya Kimataifa ya Kinywaji cha Pespsi kimefungua tawi lake jipya eneo la Pwani. Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa tawi

Read More
February 11, 20220

Madereva wa masafa marefu kaunti ya Mombasa wanalalamikia msongamano mkubwa wa magari katika halmashauri ya Bandari pamoja na kituo cha kupima uzani wa matrela huko Mariakani wakimtaka Waziri wa uchukuzi James Macharia kuingilia kati suala hilo.

Madereva wa masafa marefu kaunti ya Mombasa wanalalamikia msongamano mkubwa wa magari katika halmashauri ya Bandari pamoja na kituo cha kupima uzani w

Read More
February 11, 20220

Kijiji cha Mpirani katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kimeshangaza wahudumu wa afya pamoja na viongozi katika wizara ya afya kutokana na idadi kubwa ya watu wanaoishi na ulemavu.

Kijiji cha Mpirani katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kimeshangaza wahudumu wa afya pamoja na viongozi katika wizara ya afya kutokana na i

Read More

Posts navigation

1 2 3 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite