Kamati ya afya katika bunge la seneti imeanzisha juhudi za kujumuisha serikali za kaunti kuhusu bima mpya ya afya ikidokeza kuwa miswada kadhaa iliwas
Read MoreViongozi wa kidini wanataka mazungumzu ya mabadiliko ya tabianchi ulimwenguni kujumuisha makundi mbalimbali ili kutafuta suluhu mwafaka wa matatizo ha
Read MoreKuna hofu ya hatari ya maisha ya mifugo na binadamu kufuatia ripoti ya ongezeko la madaktari bandia wa mifugo huko Magarini, Kaunti ya Kilifi. Kuling
Read MoreImebainika kuwa zaidi ya wakazi elfu 10 kaunti ya Kilifi wanaugua maradhi ya kifafa. Katibu wa Kamati ya Kitaifa inayoshughulikia maswala ya ugonjwa w
Read MoreKuna haja ya vijana wa jinsia ya kiume kupata mafunzo kuhusiana na maswala ya hedhi kama njia moja ya kuepukana na aibu. Mkurugenzi kutoka shirika la
Read MoreWizara ya afya kaunti ya Kwale imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu, katika kaunti hiyo huku kesi 5 zikiripotiwa mwezi huu kati
Read MoreWataalamu wa afya ya akili wametaja ukosefu wa mafunzo ya afya ya akili kwa wahudumu wa afya kuwa miongoni mwa sababu zinazolemaza vita dhidi ya tatiz
Read MoreSerikali ya kaunti ya Kilifi imetakiwa kuboresha huduma za afya katika hospitali za umma hasa maeneo ya mashinani. Baadhi ya wakaazi katika wadi ya R
Read MoreWanawake hapa nchini sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya majaribio ya kifaa cha kupima kiwango cha damu wanawake hupoteza baada ya kujifungua
Read MoreVituo 46 vya afya Kaunti ya Mombasa vimefungwa kutokana na kukosa kuafikia viwango vinavyohitajika kutoa huduma za afya kwa umma. Kulingana na Baraza
Read More