HabariMakalaPhotography

Serikali ya Kilifi yatakiwa kujenga kituo maalum cha waathiriwa wa dhulma za kijinsia….

Serikali ya kaunti ya Kilifi imetakiwa kujenga kituo maalum cha kuwashughulikia waathiriwa wa dhulma za kijinsia.

Mwenyeketi wa kina mama katika kaunti ya Kilifi Whtiney Stuma ameswema kuwa waathiriwa wa kijinsia hupitia changamoto kuu wanapofanyiwa unyama huo.

Whitney ameongezea kuwa mizozo mingi ya kifamilia imesababishwa na changamoto za kiuchumi huku akiwasihi wanaume kuwajibikia majukumu katika familia zao.