Watu 6 akiwemo mtoto mchanga wameaga dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa ua mtaani KCC-Miritini eneobunge la Jomvu kaunti ya Mombasa. Watano hao wal
Read MoreRais William Ruto amewaonya zaidi ya Maafisa wa mashirika ya Kiserikali waliokiuka agizo la kuhamisha huduma zao kwenda mfumo wa kidijitali kupitia mt
Read MoreWahudumu wa Afya wa hospitali za kibinafsi kaunti ya Mombasa wanalalamikia kukandamizwa na Serikali ya kaunti hiyo kupitia makato ya ushuru na ulipiaj
Read MoreMaafisa wa Bodi ya Dawa za Wadudu (PCPB) wakishirikiana na Maafisa wa Idara ya Upelezi DCI, wamewakamata washukiwa wawili waliokuwa wakisambaza dawa g
Read MoreMuungano wa madaktari nchini (KMPDU) umeagiza madaktari wanagenzi kusitisha kazi katika hatua ya kupaza lalama zao kufuatia kifo cha mmoja wao Dkt. Fr
Read MoreMahakama Kuu imesitisha utekelezaji wa mikataba yote kati ya Serikali na Kampuni ya Adani Group kutoka India. Jaji wa Mahakama hiyo Bahati Mwamuye am
Read MoreUrusi ilikuwa imejiandaa kwa mauaji mapya ya halaiki ya watu wa Ukraine kwa muda mrefu kabla ya kutekeleza uvamizi wa kiwango kamili. Haya ni kulin
Read MoreWakaazi wa Mombasa na Pwani kwa jumla sasa wanahimizwa kuwajibikia usafi wa mazingira sawia na upanzi wa miti ili kuimarisha mazingira yao. Katika mah
Read MoreMahakama Kuu imesitisha maagizo ya Serikali kutekeleza agizo la kuwataka abiria wanaoingia nchini Kenya kuweka wazi nambari za Utambulisho wa Simu (IM
Read MoreEneo bunge la Kaloleni ni miongoni mwa maeneo kame zaidi kaunti ya Kilifi, wakazi wakitaabika miaka nenda miaka rudi kwa tatizo la uhaba wa maji. Laki
Read More