BurudaniEntertainmentHabariLifestyle

NAJIDAI!!! MZIKI MPYA KUTOKA KWA ADASA AKIMSHIRIKISHA MKALI WA GENGE MEJJA…………………….

Mwanamziki anayekuwa kwa kasi sana hapa Pwani Esther Mwangala almaarufu Adasa ameamaua kuvunja kimya cha muziki kwa mara nyengine na  kuachilia collabo na mkali Wa Genge Mejja almaarufu ‘Okwonko’.

Najidai ndo ngoma inayotamba kwa sasa.

Ni wakati wa kujidai na Adasa na Mejja.