BurudaniEntertainmentHabari

MJUE MSANII WAKO (SALIM KIRIRO ADINANI) MLOLE CLASSIC

MLOLE CLASSIC AKA MR BACTERIA Anatokea Taita Taveta Kijiji cha Njoro alianza Mziki akiwa shuleni lakin alishindwa kurecord kwa sababu ya kutokua na  kipato baada ya  shule alijiunga na idara ya N.Y.S na akasomea taaluma ya P.O PLANT OPARETER na baadae kupata kazi ya Kwanza kwa kampuni ya wachina, kazi iliyompa hela za kuingia studio kwa mara ya Kwanza voi na producer G JUNIA soko la mziki Voi lilikua chini hali iliyomlazimu kuhamia  Mombasa nakuendelea na shughuli zake za MZIKI na kaingia studio ya Kwanza Upward Music na kupatana na producer mkali GENERAL. Baadae studio iliuzwa na kubadilishwa jina DALLAZ RECORDS chini ya Uongozi Jos K Madala ilibidi nihamie STARBON MUSIC Chini ya Uongozi wa EMLENDI ambako nafanya kazi zangu hadi sasa. Mlole ni mmoja ya Wasanii kidogo Pwani walioweza kujikakakamua na kufungua biashara inayoambatana na Mziki.

Anamiliki studio ya Video Production ilioko Changamwe ”LOLEZ PRODUCTION