HabariSiasa

TANZANIA IMEEKEZA KWENYE MIUNDO MSINGI, RAIS SAMIA ASEMA……………

Rais wa jumuia ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania imewekeza katika  miundomisingi mbalimbali kama vile barabara, reli, bandari na maswala ya kawi.

Akizungumza katika kikao na wafanyibiashra wa sekta ya kibinafsi, Suluhu amesema uwekezaji huo unanuia kukuza biashara na kuwapa waekezaji ujasiri wa kuekeza katika taifa hilo.

Suluhu aidha amewahimiza wafanyibiashara kutoka mataifa yote mawili kujitahidi kuboresha uhusiano wao wa kibiashara ili kuona kwamba biashara zinakua kwa kiwango kikubwa zaidi.

By News Desk