HabariSiasa

RAIS UHURU KENYATTA AKUTANA NA VIONGOZI WA ENEO LA NYANZA…

Rais Uhuru Kenyatata amefanya mkutano na viongozi wa eneo la nyanza katika ikulu ya rais jijii Nairobi suku chache kabla ya maadhimisho ya madaraka katika kaunti ya kisumu

Masuala mbalimbali yamejadiliwa wakti wa mkutanao huo, swala kuu zaidi likiwa la kufanikisha mpango wa upatanshi bbi

Rais Kenyatta amesisitiza kuwa mpango wa BBI haulengi kuwanufaisha watu Fulani serikalini

Mbunge wa Seme Dkt James Nyikali amewataka viongozi katika eneo hilo kushirikiana na serikali katika kufanikisha BBI

Nyikal amesema viongozi hao wanaimani kwamba rufaa iliyowasilishwa ya kupinga uamuzi wa kuharamisha mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia ripoti ya BBI itafaulu

BY JOYCE MWENDWA