HabariSiasa

Mbunge wa Mathira Rigathi Gachagua ameachiliwa kwa dhamana

Mbunge wa Mathira Rigathi Gachagua ameachiliwa kwa dhamana ya pesa taslimu Sh12 milioni na au bodi ya shilingi Sh25 milioni.

Mbunge huyo amekana mashtaka yote 6 yaliokuwa yanamkabili ya bilioni 7.4,yakiwemo wizi wa pesa za umma,kjipatia mali kinyume cha sheria na utakatishaji wa fedha.

Gachagua na wenziwe 10 walikamtwa siku ya ijumaa na kulazimika kukalala kororkoni wikendi yote.

kesi hiyo itatajwa tena tarehe 9 mwezi agosti mwaka huu.

katika kesi hiyo Gachagua anwakiliswa na mawakili Kioko Kilukumi, Alice Wahome, GladysSholei, Kipchumba Murkomen, Sylvanus Osoro, Irungu Kangata, Gibson Kimani, Wyclife Nyabuto, Amos Kisiwi na Paul Gacheru.

 

By News Desk