HabariSiasa

RAIS UHURU KENYATTA AKUTANA NA KIONGOZI WA ODM RAILA ODINGA

PICHA KWA HISANI YA PSCU

Rais Uhuru Kenyatta Amekutana na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga na vinara wa muungano wa OKA Gideon Moi (Kanu), Kalonzo Musyoka (Wiper), Musalia Mudavadi (ANC) na Moses Wetang ula (Ford-K) Ikulu, Mombasa.

Kulingana na taarifa viongozi hao wamejadili walijadili umuhimu wa kudumisha amani, umoja na mshikamano wa kitaifa.

Mkutano huo umekuja siku chache baada ya Mudavadi, Wetangula na Kalonzo kuondoka katika muungano wa NASA.