HabariKimataifaNews

Freeman Mbowe afikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya ugaidi….

Kinara wa chama cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania Freeman Mbowe amefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya ugaidi.

Mbowe mwenye umri wa miaka 59 amekuwa kizimbani na maafisa wengine wakuu wa chama hicho tangu mwezi Julai mwaka huu.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu ameonya mabalozi wa kigeni waliopanga kufika kortini kufuatilia kesi bila kufahamisha wizara ya mashauri ya kigeni   kutokana na janga la korona.

BY NEWS DESK