HabariNews

Familia moja huko Kibaoni Kilifi yaomba msaada ili wamzike jamaa yao…..

Familia moja eneo la Kibaoni katika kaunti ya Kilifi inaomba msaada ili waweze kumzika jamaa wao aliyefariki tarehe 4 Julai mwaka huu katika hospitali moja jijini Nairobi.

Kulingana na dadake marehemu Lilian Mwaringa alipokea simu tarehe 27 Juni mwaka huu kuwa dungu yake David Katana amekimbizwa hospitalini baada ya kuanguka ghafla akiwa kazini huku akidai kwamba kulifia sasa bado wanahitaji msaada.

Hata hivyo marehemu aliendelea kuwa hospitalini kwa wiki moja adi kufikia tarehe 4 julai ambapo aliaga dunia na mwili wake kupelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti huku familia ikitafuta  shilingi 500,000 ili kuruhusiwa kumzika mpendwa wao.

BY NEWS DESK.