AfyaHabariNews

Idadi ya maambukizi ya virusi vya korona nchini kufikia watu 253,018.

Watu 80 wamedhibitishwa kuambukizwa YA baada ya sampuli 4,188 kufanyiwa vipimo chini ya saa 24 zilizopita na kufanya idadi ya maambukizi nchini kufikia watu 253,018.

Kulingana na taarifa kutoka kwa wizara ya afya kwa vyombo vya habari kati ya maambukizi hayo mapya 77 ni wa kenya ilhali 3 wakiwa ni raia wa kigeni.

Hata hivyo wagonjwa 4 wamepoteza maisha kutokana na makali ya korona na kufanya idadi ya walioangamia kufikia watu 5,270.

Aidha watu 64 wamepona korona 51 kutoka katika utuzaji wa nyuumbani na wengine 13 kutoka katika vituo mbalimbali vya afya nchini na kufanya idadi ya waliopona kuwa 246,569.

BY NEWS DESK