BurudaniEntertainmentFun

New music alert!! Adasa – Katika.

Baada ya kuachilia kibao “Hatuachani” mwaka jana, Adasa ameufungua mwaka kwa kibao kipya “Katika”. Adasa, chini ya Dallas ecords ameonekana kujitoa kama msanii bora chipukizi kutoka ukanda wa pwani. Adasa ameonekana kupanda kwenye chati na mziki wake kukubalika jijini nairobi kusambaa nchini.

Sikiliza kibao chake kipya : https://youtu.be/b6aWRCqNMUk

by ˆErick Mwangi