HabariNews

Sekta za usalama kaunti ya Lamu imepigwa jeki baada ya vituo zaidi vya polisi kujengwa katika kaunti hiyo.

Sekta za usalama kaunti ya Lamu imepigwa jeki baada ya vituo zaidi vya polisi kujengwa katika kaunti hiyo.
Vituo 4 vya polisi vimejengwa maeneo ya Maleli na kibaoni katika siku za hivi karibuni, baada ya kushuhudiwa visa vya utovu wa usalama eneo hilo.
Hatahivyo waakazi eneo hilo wanaitaka serikali kuongeza idadi Zaidi ya maafisa wa polisi katika vituo hivyo, ili kurejesha utulivu wa kiusalama eneo hilo.