HabariKimataifaNewsWorld

Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono tangazo la Milki za kiarabu kuanzisha kituo cha ubunifu na ujasiria mali nchini Kenya.

Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono tangazo la Milki za kiarabu kuanzisha kituo cha ubunifu na ujasiria mali nchini Kenya.
Tangazo hilo ni sehemu ya maafikiano na mafanikiano ya mashauriano kati ya Rais kenyetta Na Shekh Mohammed Bin Zayed ambaye ni mwana mfalme wa Abudhabi na naibu amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi vya umiliki wa ulinzi wa kaiarabu huko Abudhabi.