HabariLifestyleNews

FAMILIA MOJA KAUNTI YA MOMBASA YAENDELELA KULILIA HAKI YA MWANAO WA MIAKA 8 ALIYENAJISIWA NA KISHA KUUAWA.

Family moja katika mtaa wa mtopanga eneo bunge la kisauni inazidi kulilia haki ya mtoto wao mwenye wa miaka 8 aliyenajisiwa na kisha kuawa kwa kunyongwa na mshukiwa ambaye kwa sasa bado yuko huru licha ya kutekeleza unyama huo.