HabariNews

RAIS UHURU KENYATTA AZINDUA KONGAMANO LA 9 LA MIJI YA AFRIKA AFRI CITIES KATIKA KAUNTI YA KISUMU.

Raisi uhuru Kenyatta amefungua kongamano la tisa La Africities la mataifa ya afrika lilohudhuriwa na a viongozi mbalimbali ulimwenguni.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo, Kenyatta amewakaribisha wageni wote hususan maraisi wa mataifa wanachama wa africities katika kongamano hilo huku akitaja kongamano hilo kama litakalofufua uchumi wa mataifa ya afrika hususan kenya baada ya kusambaratishwa na ujio wa janga la korona.
Hata hivyo mengi zaidi yanatarajiwa kujadiliwa katika kongamno hilo kuu zaidi ikiwa ni kuimarisha biashara na uchumi wa mataifa wanachama.

BY EDITORIAL DESK