Baada ya kutesa na kibao niwachane na Haga sasa amerudi tena na kibao chenye hisia kali sana za mapenzi ”Wapi nimekosa” ndo kibao kinachotamba kwa sasa. Tommy Dee ni Msanii anayetokea Kaunti ya Taita Taveta lakini akaamua kuleta hustle zake za Mziki chini ya Uongozi wa De Extream Production.
Ngoma ndio hii hapa.