BurudaniEntertainmentMombasaPhotographyVideos

HAPPY C MSANII MPYA CHINI LEBEL YA 001 MUSIC AELEZEA HISTORIA YAKE ALIVYOKUTANA NA GAVANA JOHO

Happy Chondo Juma ni msanii mwenye uwezo mkubwa aliyeanza kufanya mziki toka shule ya msingi akiwa na ndugu yake Sande wakjiita Wawindaji.

Ripota wetu aliweza kupata nafasi ya kipekeee na kumhoji. Haya hapa mahojiano yake.