AfyaHabari

Dawa za kulevya zaathiri vijana Kwale.

Serikali ya kaunti ya Kwale imeshauriwa kufungua kituo cha kupeana dawa ya Methadone cha Ganja la Simba kuwahudumia waraibu wa dawa za kulevya katika eneo la Kinondo.

Akizungumza wakati wa kutoa chakula hicho katika shule ya msingi ya Ng’ombeni, Mwasera amesema mradi huo unalenga kuwasaidia wazazi wasiojiweza kifedha.

Amesema kuwa chakula hicho kilichogharimu takriban shilingi laki moja, kitatumika na wanafunzi wa darasa la nane wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kitaifa wa KCPE mwezi huu.

Kwa upande wake mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Iddy Mohammed amepongeza mradi huo, akisema utawasaidia wanafunzi wakati wa mtihani.

Mohammed amesema kuwa tayari wanafunzi hao wamejiandaa vilivyo kwa mtihani huku masharti ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa corona yakizingatiwa shuleni humo.

Na Binti Khamis