BurudaniEntertainmentHabariMombasa

K.O NILIKUA NA NDOTO YA KUWA STAR, NILIWAZA KUJIUWA

Elijah Chonga almaarufu K.O Mwanafunzi wa kidato cha Tatu shule ya upili ya Shimo La Tewa na pia msanii chipukizi anayekuja kwa kasi sana alifunguka na kusema kwamba alikuwa na ndoto ya kuwa maarufu kupitia mziki ila ugumu wamaisha ukawa unamkatisha tamaa, ilifika wakati nkawa nawaza hata kujiuwa nisipotoboa kimziki, alisema K.O

msikilize hapa