Msanii kutoka kaunti ya 006 yani Taita Taveta almaarufu B Classic ameachia ngoma mbili kwa mpigo kwa jina “Aaaw Baby” na “Kata”. Hii ni baada kuchangia maoni kupitia wimbo unaojulikana kama “One love” katika ugomvi uliyomhusisha Harmonize ama ukipenda Konde Boy wa Konde Gang na Rayvanny wa WCB.
Na hizi hapa nyimbo zenyewe….
By Leon Nkaduda