HabariSiasa

Kikao cha majaji 5 wa kuskiza kesi ya BBI kinaendelea katika mahakama ya milimani.

Kikao cha majaji 5 wa kuskiza kesi ya BBI kinaendelea katika mahakama ya milimani.

Kesi 17 zimejumuishwa.

Majaji hao ambao ni  Jaji Joel Ngugi, George Odunga, Jarius Ngaah, Janet Mulwa na Chacha Mwita wanatarajiwa kutoa uamuzi wao iwapo kura ya maamuzi itaandaliwa au la

Kesi hii iliwasilishwa na mwanauchumi David Ndii, Muungano wa wauguzi, chama cha Third Alliance, 254 Hope, Justus Juma, Moraa Omoke, Isaac Aluochier na shirika la kuetea haki za kibinadamu la MUHURI.

By Joyce Mwendwa