HabariMombasa

Waumini wa dini ya kislamu hii leo wamejumuika katika uwanja wa shule ya msingi ya Ronald Ngala kusherekea sikukuu ya eid fitr…

Waumini wa dini ya kislamu hii leo wamejumuika katika uwanja wa shule ya msingi ya Ronald Ngala kusherekea sikukuu ya eid fitr iliongozwa na kadhi mkuu wa zamani Hammad kassim aliyehimiza jamii ya kislamu kuhudumisha amani kote ulimwenguni.

Miongoni mwa waliohudhiuria sherehe hiyo ni akiwemo viongozi wa kiasi walioto pole kwa wenziwa katika nchi ya palestino baada ya taifa hilo kukumbwa na changamoto ya vita na mauaji.

Mbunge wa mvita Abdulswamad Sharif Nasi ni miongoni mwa viongozi waliohudhiria.

By David Otieno