BurudaniEntertainment

NEW MUSIC ALERT!!! “SUCH KINDA LOVE” OTILE BROWN X JOVIAL….

Otile Brown amshirikisha Jovial kwa mara nyingine tena katika kibao kwa jina “such kinda love”.

Hii ni baada ya wawili hao kutoa vibao viwili hapo awali vikiwa ‘Zichune’ na ‘ämor’ mtawalia ambavyo viliperform vyema katika mtandao wa youtube.

Hiki hapa ni kibao chenyewe…

By Leon Nkaduda.