BurudaniEntertainment

B CLASSIC 006 ARUSHA MSHALE AKISEMA WATETE!!!

B Classic ameachia kibao mapema hii leo kwa jina ‘Watete’ akimshirikisha Arrow Bwoy…

Haya yanajiri siku chache tu baada ya B Classic kuhusishwa katika sakata ambayo mwanadada mmoja kwa jina Kapoor aliibuka mtandaoni akisema kuwa alikuwa na uja uzito wa msanii huyo na kwamba amejaribu kumpata kwa njia ya simu ila simu hazipokelewi…

Hiki hapa kibao chenyewe

By Leon Nkaduda