BurudaniEntertainmentHabari

HAPPY C : 001MUSIC ILIWALIPA,NVIIRI,BENSOUL NA FEMI ONE

Index001  hitmaker, ngoma inayotawala chat za mziki nchini Kenya. Happy C  amefunguka kwamba licha ya kuwa wasanii NVIIRI na BENSOUL Kutoka Sol Generation kundi lililo chini ya uongozi wa Sauti Sol kupatikana kiurahisi katika Collabo ilibidi uongozi wa 001Music utoe hela kuwalipa ili kufanikisha Collabo hiyo.

Msikilize hapa.