BurudaniEntertainmentHabari

DE Xtream Yatema wasanii wake wote……Kulikoni???

Moja kati ya Record Lebel zinazokua kwa kasi mkoa wa wa Pwi ni De Xtream Production ilio na makao yake hapa mjini Mombasa, iliingia kwenye biashara ya mziki na Kusign wasanii wakali na wenye uwezio wa kipekee kama vile Dogo Richie, Mike Planet, Tommy Dee Jones, Producer Naro kutoka Inchini Tanzania n.k.

Sasa fununu zakuaminika ni Kwamba Record Leb hiyo imeamua kuwafuta kazi wasanii wote, japo sababu ya hatua hiyo haijajulikana bado. Haya ni kwa mjibu wa vyanzo vya Karibu vya Xtream Production.