BurudaniEntertainmentHabari

NEW MUSIC ALERT: NAPAMBANA -TOMMY DEE JONES

Baada ya kutemwa De Extreme Music na account yake ya youtube kufungwa Msanii Tommy Dee Jones Kutoka Kaunti ya Taita Taveta ameamua kuvunja kimya kwa kutoa ngoma mpya chini ya Producer Mazoo. Tommy Dee ametamba sana na kibao Haga, ngoma aliotoa chini ya uongozi wa De Extreme.

Pata uhondo wa ngoma ya ke mpya.

 

By Yussuf Tsuma