HabariSiasa

WIPER HAIWEZI UNGANA NA UDA ASEMA KALONZO

Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amepuuzilia mbali uvumi ambao umekuwepo wa kuundwa kwa muungano kati ya chama cha Wiper na chama cha UDA kinachohusishwa na naibu wa rais William Ruto.

Akizungumza katika mazishi ya Mwakilishi wa Wadi  ya Nguu-Masumba Haris Ngui, Kalonzo amesema kuwa chama chake kinaongozwa na misingi ya uongozi muadilifu na unaopiga vita ufisadi.

Ubabe wa kisiasi  kati ya gavana wa Makueni  Kivutha  Kibwana na Kalonzo umetokeza wazi wakitofautiana hadharani mbele ya wombolezaji

Ngui alifariki wiki iliyopita katika ajali mbaya ya barabara,

BY JOYCE MWENDWA